MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR: SMZ INATHAMINI MCHANGO UNAOTOLEWA NA WASANII NCHINI

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inalazimika kuendelea kuwaheshimu Wasanii Nchini kutokana na mchango wao mkubwa wanaoendelea kuutoa kwa Jamii na Taifa kwa jumla katika suala zima la kufikisha Ujumbe, Elimu  sambamba na burdani. Akizungumza na Uongozi wa Chama cha Wasanii wa Kizazi Kipya {ZFU} waliofika Afisini kwake Vuga kujitambulisha, Makamu wa Pili wa Rais wa